Zaburi 131:1-3
-
Kuridhika kama mtoto aliyeachishwa kunyonya
-
Kutotafuta mambo makubwa sana (1)
-
Wimbo wa Safari za Kupanda. Wa Daudi.
131 Ee Yehova, moyo wangu hauna kiburi,Wala macho yangu hayana majivuno;+Wala sijitafutii mambo makubwa sana,+Wala mambo yanayopita uwezo wangu.
2 Hasha, badala yake nimeituliza na kuinyamazisha nafsi yangu*+Kama mtoto aliyeachishwa kunyonya aliye na mama yake;Nimeridhika kama mtoto aliyeachishwa kunyonya.
3 Watu wa Israeli na wamngojee Yehova+Kuanzia sasa mpaka milele.