Machi 10-16
METHALI 4
Wimbo 36 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. “Ulinde Moyo Wako”
(Dak. 10)
Neno “moyo” linarejelea utu wa ndani (Zb 51:6; w19.01 15 ¶4)
Jambo kuu kwetu linapaswa kuwa kuulinda (Met 4:23a; w19.01 17 ¶10-11; 18 ¶14; ona picha kwenye)
Uzima wetu unategemea hali ya moyo wetu wa mfano (Met 4:23b; w12 5/1 32 ¶2)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Met 4:18—Mstari huu unaweza kutumiwaje kufafanua ukuzi wa kiroho wa Mkristo? (w21.08 8 ¶4)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 4:1-18 (th somo la 12)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba anaonyesha upendezi baada ya kupokea mwaliko wa Ukumbusho. (lmd somo la 1 jambo kuu la 5)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu unayemfahamu kwenye Ukumbusho. (lmd somo la 2 jambo kuu la 3)
6. Kufafanua Imani Yako
(Dak. 5) Onyesho. ijwfq makala ya 19—Kichwa: Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Hawasherehekei Ista? (lmd somo la 3 jambo kuu la 4)
Wimbo 16
7. Video ya Machi ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo
(10 min.) Onyesha VIDEO.
8. Kampeni ya Ukumbusho Itaanza Jumamosi, Machi 15
(Dak. 5) Hotuba itolewe na mwangalizi wa utumishi. Eleza mipango ya kutaniko lenu ya kampeni, hotuba ya pekee, na Ukumbusho. Watie moyo wote waongeze utendaji wao mwezi wa Machi na Aprili.
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 23 ¶16-19, sanduku uk. 188