Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Ismail Sen/Anadolu Agency via Getty Images

ENDELEA KUKESHA!

Matetemeko Makubwa ya Ardhi Yatokea Uturuki na Syria—Biblia Inasema Nini?

Matetemeko Makubwa ya Ardhi Yatokea Uturuki na Syria—Biblia Inasema Nini?

 Jumatatu, Februari 6, 2023, matetemeko makubwa ya ardhi yalitokea nchini Uturuki na nchini Syria na kusababisha uharibifu mwingi.

  •   “Jumatatu, tetemeko kubwa la ardhi liliwaua watu zaidi ya 3,700 katika eneo kubwa nchini Uturuki na kaskazini magharibi mwa Syria. Isitoshe, kwa kuwa kuna baridi kali sasa, hali imekuwa mbaya hata zaidi kwa maelfu ya watu waliojeruhiwa au waliopoteza makao yao. Kwa kuongezea, baridi hiyo imefanya iwe vigumu kuwaokoa watu.”​—Reuters, Februari 6, 2023.

 Tunaumia moyoni tunaposikia kuhusu majanga haya. Katika nyakati kama hizi, tunaweza kupata msaada kutoka kwa Yehova ambaye ni “Mungu wa faraja yote.” (2 Wakorintho 1:3) Anatupa “faraja kutoka kwa Maandiko [ili] tuwe na tumaini.”​—Waroma 15:4.

 Katika Biblia, tunajifunza:

  •   Mambo yaliyokuwa yametabiriwa kuhusu matetemeko ya ardhi.

  •   Tunapoweza kupata faraja na tumaini.

  •   Jinsi Mungu atakavyokomesha kuteseka.

 Ili kujua maoni ya Biblia kuhusu masuala hayo, soma makala zifuatazo:

a Yehova ni jina la kibinafsi la Mungu. (Zaburi 83:18)