Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Madagaska

  • Antsirabe, Madagaska​—Kutoa gazeti la Mnara wa Mlinzi kwa dereva wa riksho (pousse-pousse)

Taarifa Fupi—Madagaska

  • 29,443,000—Idadi
  • 40,035—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 841—Makutaniko
  • 1 kwa 763—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—Madagaska

Wajue baadhi ya wahubiri ambao wamejitoa wenyewe ili kusaidia kueneza ujumbe wa Ufalme kotekote nchini Madagaska.