ONYESHA Vitabu vya Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Rutu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Yobu Zaburi Mezali Muhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Matayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorinto 2 Wakorinto Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Watesalonike 2 Watesalonike 1 Timoteo 2 Timoteo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 Kitabu cha Yoshua Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 Habari Zenye Kuwa Ndani 1 Yehova anamutia Yoshua moyo (1-9) Soma Sheria kwa sauti ya chini (8) Matayarisho ya kuvuka Yordani (10-18) 2 Yoshua anatuma wapelelezi wawili Yeriko (1-3) Rahabu anaficha wapelelezi (4-7) Rahabu anapewa ahadi (8-21a) Alama ya kamba ya rangi nyekundu yenye kungaa (18) Wapelelezi wanarudia kwa Yoshua (21b-24) 3 Israeli wanavuka Yordani (1-17) 4 Majiwe ya ukumbusho (1-24) 5 Waisraeli wanatahiriwa kule Gilgali (1-9) Sikukuu ya Pasaka; mana inaacha kuanguka (10-12) Mukubwa wa jeshi la Yehova (13-15) 6 Ukuta wa Yeriko unaanguka (1-21) Rahabu na familia yake wanaokolewa (22-27) 7 Israeli wanashindwa kule Ai (1-5) Sala ya Yoshua (6-9) Zambi inafanya Israeli washindwe (10-15) Zambi ya Akani inafunuliwa na Akani anapigwa majiwe (16-26) 8 Yoshua anaweka watu wa kuvizia Ai (1-13) Muji wa Ai unakamatwa (14-29) Sheria inasomwa kwenye Mulima Ebali (30-35) 9 Wagibeoni wajanja wanatafuta amani (1-15) Ujanja wa Wagibeoni unafunuliwa (16-21) Wagibeoni wanakuwa watumwa wa kukusanya kuni na kushota maji (22-27) 10 Israeli wanasaidia Wagibeoni (1-7) Yehova anapigania Israeli (8-15) Mvua ya majiwe inanyeshea maadui wenye kukimbia (11) Jua linasimama bila kutikisika (12-14) Wafalme tano wenye kushambulia wanauawa (16-28) Miji ya eneo la kusini inakamatwa (29-43) 11 Miji ya eneo la kaskazini inakamatwa (1-15) Habari fupi juu ya ushindi wa Yoshua (16-23) 12 Wafalme wa eneo la mashariki mwa Yordani wanashindwa (1-6) Wafalme wa eneo la mangaribi mwa Yordani wanashindwa (7-24) 13 Maeneo yenye hayajakamatwa (1-7) Kugawanywa kwa maeneo ya mashariki mwa Yordani (8-14) Uriti wa Warubeni (15-23) Uriti wa Wagadi (24-28) Uriti wa kabila la Manase upande wa mashariki (29-32) Yehova ndiye uriti wa Walawi (33) 14 Kugawanywa kwa maeneo ya mangaribi mwa Yordani (1-5) Kalebu anariti Hebroni (6-15) 15 Uriti wa kabila la Yuda (1-12) Binti ya Kalebu anapewa eneo (13-19) Miji ya Yuda (20-63) 16 Uriti wa wazao wa Yosefu (1-4) Uriti wa kabila la Efraimu (5-10) 17 Uriti wa kabila la Manase upande wa mangaribi (1-13) Maeneo zaidi kwa ajili ya wazao wa Yosefu (14-18) 18 Maeneo yenye yalibakia yanagawanywa kule Shilo (1-10) Uriti wa kabila la Benyamini (11-28) 19 Uriti wa kabila la Simeoni (1-9) Uriti wa kabila la Zabuloni (10-16) Uriti wa kabila la Isakari (17-23) Uriti wa kabila la Asheri (24-31) Uriti wa kabila la Naftali (32-39) Uriti wa kabila la Dani (40-48) Uriti wa Yoshua (49-51) 20 Miji ya makimbilio (1-9) 21 Miji ya Walawi (1-42) Ya wazao wa Haruni (9-19) Ya Wakohati wenye walibakia (20-26) Ya Wagershoni (27-33) Ya Wamerari (34-40) Ahadi za Yehova zinatimia (43-45) 22 Makabila ya mashariki yanarudia kwao (1-8) Mazabahu inajengwa karibu na Yordani (9-12) Kusudi la mazabahu linaelezwa (13-29) Hali ya kukosa kuelewana inaisha (30-34) 23 Maneno ya Yoshua ya kuaga viongozi wa Israeli (1-16) Hakuna neno la Yehova lenye halikutimia (14) 24 Yoshua anakumbusha Israeli historia yao (1-13) Anatia watu moyo wamutumikie Yehova (14-24) “Mimi na nyumba yangu, tutamutumikia Yehova” (15) Yoshua anafanya agano na Israeli (25-28) Yoshua anakufa na anazikwa (29-31) Mifupa ya Yosefu inazikwa Shekemu (32) Eleazari anakufa na anazikwa (33) YENYE KUTANGULIA ENDELEA CHAPA TUMIA WENGINE TUMIA WENGINE Yoshua—Habari Zenye Kuwa Ndani BIBLIA—TAFSIRI YA ULIMWENGU MUPYA (YENYE ILIREKEBISHWA YA 2018) Yoshua—Habari Zenye Kuwa Ndani Kiswahili (Congo) Yoshua—Habari Zenye Kuwa Ndani https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt Yoshua uku. 372-373